1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa DRC wakimbilia Uganda kutafuta hifadhi

Lubega Emmanuel31 Oktoba 2022

Idadi kubwa ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanazidi kuwasili nchini Uganda kufuatia mapigano makali yanayoendelea nchini mwao baada ya waasi wa M23 kuiteka miji muhimu mashariki mwa Congo. Kulingana na wakimbizi hao, ijapokuwa wapiganaji wa M23 hawakuonyesha ishara za kuwadhuru raia, walisema sio salama kwao kubaki katika makaazi yao. Sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/4ItlR