1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi ya Kenya yapambana kuwadhibiti waandamanaji

Shisia Wasilwa
8 Agosti 2024

Polisi nchini Kenya walilazimika kutumia mabomu ya machozi kukabiliana na waandamanaji waliokuwa wanapanga kuingia katikati ya jiji la Nairobi wakitaka kumwondoa Rais William Ruto mamlakani. Sikilza ripoti ya Shisia Wasilwa kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4jGEA