1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Kenya yazuia maandamano ya upinzani

Hawa Bihoga
19 Julai 2023

Polisi nchini Kenya imetumia gesi ya kutoa machozi na kuweka doria katika maeneo tete kuzuia maandamano yalioitishwa na kiongozi wa upinzani na mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa nchini humo Raila Odinga. Watu kadhaa wamekamatwa huku makundi ya kutetea haki za binadamu yakilaani matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanji.

https://p.dw.com/p/4U8XJ