1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la uhalifu na uhamiaji Ujerumani

5 Januari 2018

Kwa mujibu wa uchunguzi wa hivi karibuni, vijana ambao wamekataliwa kinga ya ukimbizi katika baadhi ya maeneo Ujerumani ndio wanaotumbukia zaidi katika janga la visa vya uhalifu kuliko wengine nchini Ujerumani. Sura ya Ujerumani ina mengi ya kukujuza kuhusu uchunguzi huo na mengine mengi.

https://p.dw.com/p/2qO3s