1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la matumizi ya sarafu ya mtandaoni

Sylvia Mwehozi/MMT22 Februari 2022

China imekuwa nchi ya karibuni kuzidua sarafu yake ya mtandaoni ya Yuan, ikijulikana kama e-CNY. Sarafu hiyo ilitumiwa na wanamichezo na wageni waliohudhuria michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi. Wiki hii katika kipindi cha Sema Uvume tunatizama ongezeko la matumizi ya sarafu ya mtandaoni na mustakabali wake

https://p.dw.com/p/47OnW