1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ofisi za mawakili wa Mbabazi zavamiwa Uganda

Bruce Amani Alakonya9 Machi 2016

Watu wasiojulikana waliivamia ofisi za mawakili wawili, wa Kiongozi wa upinzani Uganda Amama Mbabazi usiku wa kuamkia leo. Sikiliza mahojiano na Mchambuzi wa kisiasa Mande Akol Amazima akiwa Kampala

https://p.dw.com/p/1I9iG