1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini maana ya hatua ya rais wa Kongo kuvikosoa vikosi vya EAC?

10 Mei 2023

Sikiliza mahojiano kati ya msemaji wa rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mwenzetu Rashid Chilumba baada ya kiongozi huyo kukikosowa vikali kikosi cha wanajeshi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichotumwa kurejesha amani kwenye maeneo ya mashariki mwa nchi yake, akisema kwamba wanajeshi hao wanapaswa waondoke kufikia mwishoni mwa mwezi ujao wa Juni.

https://p.dw.com/p/4R9rt