1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUingereza

Nini kitarajiwe baada ya Labour kurudi madarakani Uingereza?

Sudi Mnette5 Julai 2024

Baada ya miaka 14 ya kuiongoza Uingereza, chama cha Conservative chini ya Rishi Sunak kimepoteza mamlaka katika uchaguzi uliokipatia ushindi wa mserereko chama cha upinzani cha Labour kinachoongozwa na Keir Starmer. Kipi kilichokiibua chama hicho? Ahmed Rajab mchambuzi wa siasa za kimataifa aliyeko jijini London, alizungumza na mwenzetu Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/4hvd1