1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni sawa kijana kusubiri mali za urithi?

23 Mei 2023

Lipo kundi la vijana ambao wanafanyakazi kwa bidii ili kuwa na maisha bora, lakini wapo ambao wanasubiri kurithi mali za wazazi pindi wanapofariki.Je hii ni sawa? sikiliza maoni ya vijana kutoka Dar es salaam Tanzania.

https://p.dw.com/p/4RiAd