1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni kwa nini nchi za Ulaya ziko mbioni kujirundikia sialaha

Khelef Mohammed1 Aprili 2022

Mada tunayochambua safari hii kwenye kipindi cha Maoni ni suala la baadhi ya nchi kuwa mboni kujirundikia silaha au kujihami zaidi hasa barani Ulaya. Je hii inamaanisha nini kuhusu hali ya usalama si barani Ulaya tu bali ulimwenguni kwa jumla? Nahodha wa kipindi safari hii ni Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/49Kh1