1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Migogoro

Mzozo wa Mashariki ya Kati wakaribia mwezi mmoja

6 Novemba 2023

Unakaribia mwezi mmoja tangu kulipozuka vita vya Israel dhidi ya kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza baada ya shambulizi la kushutukiza la wanamgambo wa Hamas. Mashirika ya Umoja wa Mataifa yametoa tamko la pamoja la usitishaji mara moja wa machafuko hayo. Wapalestina takribani 10,000 wameuawa kwa mujibu wa wizara ya afya inayosimamiwa na kundi la Hamas. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4YSm8