1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwelekeo wa Chadema watatiza Watanzania

George Njogopa26 Novemba 2020

Nchini Tanzania kumezuka mjadala kuhusu mwelekeo wa chama kikuu cha upinzani Chadema. Kuna wanaohoji iwapo kimeanza kupoteza umaarufu na pengine hata kikafa kabisa, ama ni hali ya mpito ambayo inaweza kubadilika baadae.

https://p.dw.com/p/3lr7p