1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUfaransa

Mwangaza wa Ulaya: Ufaransa na mageuzi ya mfumo wa pensheni

Bakari Ubena5 Aprili 2023

Ufaransa imekuwa ikikabiliwa katika siku za hivi karibuni na maandamano makubwa kutokana na raia wa nchi hiyo kupinga vikali mpango wa mageuzi ya pensheni ambayo yatapelekea miongoni mwa mambo mengine, umri wa kustaafu kutoka miaka 62 hadi 64. Makala ya Mwangaza wa Ulaya inatupia jicho suala hilo na mtayarishaji ni Bakari Ubena.

https://p.dw.com/p/4PjKm
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Makala zetu