1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

SAUMU YUSUF16 Septemba 2024

Kenya yakumbwa na mgomo wa wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JKIA.Tanzania yaandamwa na sakata la kutekwa, kisha kuuawa kwa kada wa chama kikuu cha upinzan CHADEMA Ali Mohammed Kibao, huku maandamano ya Chadema yakipigwa marufuku na jeshi la polisi. Rais wa Senegal alivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya Novemba 17. Hayo ni miongoni mwa yaliyomo, jiunge na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4kc48