1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

Angela Mdungu-Jokisch6 Septemba 2024

Kati ya matukio yanayolihusu bara la Afrika wiki hii, China imeahidi kutoa zaidi ya dola bilioni 50 kwa ajili ya ufadhili katika mataifa ya bara la Afrika, Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, serikali ya taifa hilo ilifanya maziko ya miili ya watu 200 waliofariki dunia katika mazingira ya aina mbalimbali kwenye makambi ya wakimbizi huko Goma

https://p.dw.com/p/4kMzW