1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaBelarus

Mwangaza wa Ulaya: Belarus:Miaka 30 ya utawala wa Lukashenko

24 Julai 2024

Katika siasa za ulaya kwa miongo kadhaa, tumeshuhudia viongozi wa mataifa mbalimbali wakipishana madarakani. Lakini Alexander Lukashenko amekuwa rais wa Belarus kwa miaka 30. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 69, ameitawala nchi hiyo kwa mkono wa chuma na kuwa na udhibiti kamili. Kipi kimemuwezesha kusalia madarakani kwa muda wote huo? Ni mbinu gani anazozitumia ili kutoyumbishwa?

https://p.dw.com/p/4ig8o