1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamke na suluhu ya mizozo

16 Aprili 2018

Unadhani wanawake wana nafasi katika kusuluhisha migogoro katika nyanja za kimataifa, na unadhani wanapewa nafasi hiyo? Makala ya Sura ya Ujerumani, inaangazia jinsi Ujerumani ilivyodhamiria kuhimiza mchango wa wanawake katika maeneo ya mizozo baada ya kuwa mwenyekiti wa shirika la wanawake linaloshughulikia juhudi za amani na usalama. Ungana naye Oumilkheir.

https://p.dw.com/p/2w7HB