1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtu na Mazingira: Uchafuzi utokanao na paneli za jua zilizo chakavu

20 Januari 2024

Wakati ulimwengu ukijaribu kuachana na nishati ya visukuku ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la joto duniani ili kuelekea kwenye matumizi ya nishati mbadala, tatizo jipya la uchafuzi wa mazingira limeibuka na kuwa tishio. Katika kipindi hiki cha Mtu na Mazingira tutaangazia uchafuzi wa mazingira utokanao na taka za paneli za jua ambazo zimeharibika au kuchakaa.

https://p.dw.com/p/4bV0K