1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Janga

Mto Kongo wafurika, wakazi wahangaishwa na mafuriko

15 Januari 2024

Baadhi ya wilaya za Kishansa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefunikwa na maji baada ya mvua kubwa kusababisha kingo za mto Kongo kupasuka. Kina cha maji kimeongezeka na mafuriko yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 300 miezi kadhaa iliyopita. Hali sio nzuri huko. Jionee mwenyewe kwenye video hii.😔

https://p.dw.com/p/4bFrc