1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtazamo wa Othman Masoud kuhusu uongozi wa taifa

4 Aprili 2024

Katika mazungumzo maalum na DW, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, anafafanuwa masuala mbali mbali, likiwemo la mtazamo wako wa kiuongozi. Mahojiano kamili utayapata kwenye ukurasa wetu wa YouTube.

https://p.dw.com/p/4eR5E