1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msafara mwingine wa malori ya misaada waingia Gaza

23 Oktoba 2023

Shirika la Hilali Nyekundu la Palestina limesema kwamba malori mengine 15 ya misaada yaliobeba chakula, maji na dawa yaliwasili Gaza usiku wa kuamkia leo Jumatatu. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4XuPo