1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa wasimamizi wa TEHAMA wamalizika Kampala

5 Julai 2024

Mkutano mkuu wa mashauriano miongoni mwa mamlaka zinazosimamia sekta ya TEHAMA umemalizika mjini Kampala ambapo wajumbe kutoka mataifa zaidi ya 100 wameazimia kushirikiana katika kutanua na kuboresha huduma hizo ili ziwafikie watu wa matabaka yote. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel alituletea ripoti hii kwa kina.

https://p.dw.com/p/4huwF