1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Luanda utazipatanisha Congo na Rwanda?

Rashid Chilumba6 Julai 2022

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi anafanya mkutano na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame mjini Luanda, Angola kwa mazungumzo yanayolenga kusuluhisha mivutano kati ya nchi hizo mbili jirani. Lakini mkutano huo unabeba matumaini ya kuptikana suluhu? Swali hilo Mchambuzi wa siasa za maziwa makuu Ali Mutasa anaeleza

https://p.dw.com/p/4Dlrp