1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa kwanza wa kilele wa wanawake wafanyika Burundi

24 Oktoba 2019

Mkutano wa kimataifa wa wanawake viongozi umezinduliwa mjini Bujumbura, Burundi ukihudhuriwa na wanawake kutoka pembe nne za dunia ikiwa na pamoja na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bintou Keita, na wake wa marais kutoka nchi kadhaa za ukanda wa maziwa makuu, akiwemo mwenyeji mke wa rais wa Burundi, Denis Nkurunziza.

https://p.dw.com/p/3RsCS