1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano kuhusu Usalama mpakani baina ya Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo na Rwanda

3 Septemba 2008

Maafisa wa serikali za Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Rwanda wamekamilisha mkutano wa siku mbili uliojadilia masuala ya usalama kwenye maeneo ya mipaka.

https://p.dw.com/p/FAjg
Ramani ya nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: AP

Hata hivyo serikali ya Rwanda imekataa katakata kufanya majadiliano na waasi wa FDLR huku hatua ya kuwasalimisha waasi hao ikizua mitazamo tofauti.Waasi wa FDLR walio na asili ya Rwanda wanaendesha operesheni zao mashariki mwa Kongo eneo linalopakana na Rwanda.

Mwandishi wetu wa Kinshasa Saleh Mwana Milongo ameandaa taarifa ifuatayo.