1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUganda

Mifuko ya plastiki iliotumika yageuka ajira Kampala

Ibrahim Swaibu
28 Juni 2023

Wanasafisha mifuko iliotumika na kuiuza tena ili kuzikimu famila zao. Biashara hiyo ambayo wameifanya kwa zaidi ya miaka mitatu imeweza kuwasaidia kutoa mahitaji muhimu kwa watoto wao, hata hivyo kampeni za kupiga marufuku mifuko hiyo inaweka hatarini ajira hizo ambayo si rasmi.

https://p.dw.com/p/4TAAj