1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga: Rekodi ya Leverkusen yavunjwa

2 Septemba 2024

Mabingwa watetezi wa Bundesliga, Bayer Leverkusen walipokea kichapo cha mabao 3-2 na rekodi yao ya kutoshindwa kuvunjwa, wakati Heidenheim ikiinyeshea Ausburg ndani ya uga wa Voith-Arena. Tutaangazia pia mashindano ya Olimpiki ya walemavu mjini Paris. Kwa mengi zaidi sikiliza makala ya hii ya michezo.

https://p.dw.com/p/4kC2I