1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoUfaransa

Olimpiki yakamilika kwa Marekani na China kuonyesha ubabe

12 Agosti 2024

Mji wa Paris umefunga pazia ya michezo ya Olimpiki kwa onyesho la kukata na shoka katika uwanja wa kitaifa wa Stade de France huku Marekani ikimaliza kinara wa nchi iliyochukua medali nyingi zaidi kwenye mashindano ya mwaka huu baada ya kuzoa jumla ya medali 126.

https://p.dw.com/p/4jOMS