1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 59 ya uhuru wa Tanganyika

Sudi Mnette9 Desemba 2020

Imetimia miaka 59, tangu iliyokuwa Tanganyika, na sasa sehemu ya Tanzania ipate uhuru kutoka kwa mkoloni Uingereza. Mnamo Desemba 9, 1961 taifa hilo lilipata uhuru wake. DW ilizungumza na Profesa Issa Shivji.

https://p.dw.com/p/3mT6P