1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 5 ya "Wir schaffen das" - Tunaweza

Josephat Charo
5 Septemba 2020

Miaka mitano iliyopita, wakati mamia kwa maelfu ya wahamiaji walipomiminika Ujerumani, kansela wa Ujerumani Angela Merkel alisema: Wir schaffen das - Tunaweza. akimaanisha Ujerumani wanaweza kuwakaribisha wakimbizi na kuwajumuisha katika jamii. Je, sera hii imefanikiwa kwa kiwango gani? Sikiliza kipindi cha Maoni na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/3i3Mk