1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Kinachomkabili Tshisekedi muhula wa pili

22 Januari 2024

Wakati Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo akianza muhula wake wa pili madarakani, Maoni Mbele ya Meza ya Duara inajadili kile kinachomsubiri kukitenda ama kukikamilisha ndani ya miaka minne ijayo. Josephat Charo anawaongoza wanajopo kwenye mjadala huu.

https://p.dw.com/p/4bXaE