1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: Askari polisi na vitendo vya kikatili

Anuary Mkama (HON) /MMT25 Januari 2024

Inavyotakiwa ni kuwa raia ajihisi yuko salama zaidi mbele ya maafisa wa polisi, lakini katika matukio kadhaa inakuwa kinyume chake. Raia hujihisi yuko hatarini zaidi anapokuwa na askari polisi kutokana na kushamiri kwa ukatili wa maafisa hao muhimu kwenye ulinzi wa raia na mali zao. Anuary Mkama anaangalia kwa kina tatizo hilo linaloshamiri la walinzi wa umma kuwa makatili.

https://p.dw.com/p/4beSr