1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiNigeria

Matarajio ya Wanaigeria kwa Tinubu

26 Mei 2023

Rais mteule wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu anatazamiwa kuanza muhula wake rasmi wa kwanza mwishoni mwa mwezi wa Mei. Wananchi wengi wa Nigeria, hasa wafuasi wake wanatumai rais ajaye ataimarisha mamlaka haraka na kutimiza ahadi zake za uchaguzi. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4RrzF