1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana Disemba 25, 2023

SK2 / S02S25 Desemba 2023

Wakristo wengi ulimwenguni kote wanasherehekea Krismasi. // Wizara ya afya ya Gaza inayodhibitiwa na Hamas yasema mashambulizi ya Israel yameua watu 70 Gaza. Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier asema "sote tunatamani ulimwengu wa amani zaidi".

https://p.dw.com/p/4aZKd