1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 31.12.2016

SK2 / S02S31 Desemba 2016

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kukomesha mapigano Syria. Ban Ki-moon auaga Umoja wa Mataifa kama Katibu Mkuu. Na, Waandishi habari 93 waripotiwa kuuawa wakiwa kazini duniani kote ndani ya mwaka mzima wa 2016.

https://p.dw.com/p/2V5FQ