1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 31.07.2016

SK2 / S02S31 Julai 2016

Miongoni mwa taarifa: maelfu ya wafuasi wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan wandamana leo hii mjini Cologne - Ujerumani, Rais wa Palestina Mahmud Abbas ataka kupangwa muda maalumu wa mazungumzo ya amani na Israel, Serikali ya Yemen yakubali mpango wa amani wa Umoja wa Mataifa.

https://p.dw.com/p/1JZEz