1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 30.10.2021

30 Oktoba 2021

Uingereza imesema itachangia dozi milioni 20 za chanjo ya virusi vya corona ya AstraZeneca kwa nchi zinazoendelea // Marekani imevitaka vikosi vya usalama vya Sudan kuheshimu haki za binaadamu // Ujerumani imeonya dhidi ya kuwa na matarajio makubwa kutoka kwenye mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya tabianchi unaoanza kesho Scotland

https://p.dw.com/p/42NP7