Uturuki, Ujerumani, Urusi na Ufaransa zajadili mustakabal wa Syria.Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia Adel al -Jubeir amesema vilio vinavyosikika duniani kote juu ya kuuliwa Jamal Khashoggi vimegeuka kioja. Huko nchini Marekani anayetuhumiwa kutuma vifurushi vya mabomu atiwa mbaroni.