1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 16.12.2018

16 Desemba 2018

Hofu ya kuvunjika makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Yemen yazidi kuongezeka. Mkataba wa kupunguza joto duniani wafikiwa na wajumbe kwenye mkutano wa mjini Katowice, nchini Poland. Rais Emmerson Mnangagwa aahidi mageuzi ili kuendeleza demokrasia nchini Zimbabwe.

https://p.dw.com/p/3ACzZ