1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 15.07.2017

15 Julai 2017

Kwenye matangazo yetu leo mchana: Leo imetimia mwaka mmoja tangu kufanyika jaribio la mapinduzi nchini Uturuki. Wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani imethibitisha kuwa watalii wawili waliouwawa nchini Misri ni raia wa Ujerumani. Kiongozi wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu wa tawi la Afghanistan ameuwawa

https://p.dw.com/p/2gaw0