1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 14.04.2018

Sylvia Mwehozi
14 Aprili 2018

Kansela Angela Merkel amesema anaunga mkono mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa na Marekani, Ufaransa na Uingereza. Urusi kuitisha kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na mashambulizi ya nchini Syria. Na Marekani yatoa wito wa vikwazo zaidi kwa Venezuela.

https://p.dw.com/p/2w2w4