1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 12.12.2020

12 Desemba 2020

Marekani imeiidhinisha chanjo ya virusi vya corona ya kampuni ya BionTech na Pfizer kwa ajili ya kutumika nchini humo // Ujerumani iko katika hatari ya kukumbwa na uhaba wa vitanda iwapo visa vya virusi vya corona vitaendelea kuongezeka // Umoja wa Mataifa umekosoa matamko yanayotolewa na Syria kuhusu silaha za kemikali

https://p.dw.com/p/3mc7I