Mgombea uteuzi wa chama cha Republican kuwania urais wa Marekani Ted Cruz amemshinda mpinzani wake Donald Trump/Viongozi wa Umoja wa Ulaya katika mkutano wao wa kilele wanatarajiwa kuishinikiza Uturuki kukubali kwa kiasi kikubwa kuhamishwa kwa wahamiaji kutoka Ugiriki/ Raia wa Benin wameshuka katika vutuo vya kupiga kura kumchagua rais ajae wa taifa hilo masikini katika Afrika ya Magharibi.