Waziri wa mambo ya nje wa Iran atahadharisha juu hatari ya kutokea vita baina ya nchi yake na Israel. Katika suala la Brexit Rais wa Estonia asema makubaliano juu ya mpaka wa Ireland hayatabadilishwa. Maalfu washiriki kwenye zoezi la kuingizwa misaada nchini Venezuela