1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni

10 Mei 2020

Serikali mpya ya Iraq yakabiliwa na shinikizo la kuwaachilia huru waandamanaji, Wuhan yaripoti kisa cha kwanza cha Covid-19 baada ya zaidi ya mwezi bila maambukizi, Rais wa kamisheni ya Umoja wa Ulaya atishia kuishtaki Ujerumani

https://p.dw.com/p/3c0MV