1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 19.12.2021

19 Desemba 2021

Pakistan yaonya kuhusu athari kubwa kwa jumuiya ya kimataifa ikiwa kudorora kwa uchumi wa Afghanistan kutaendelea, maelfu ya raia wa Sudan wafanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa Khartoum na miji mingine nchini humo na waziri wa ulinzi wa Ujerumani Christine Lambrecht atoa wito wa vikwazo zaidi dhidi ya Urusi

https://p.dw.com/p/44Xhb