1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 26.05.2018

26 Mei 2018

Viongozi wa Korea Kusini na Korea Kaskazini wamekutana leo katika kijiji cha Panmunjom // Baraza la Jumuiya ya Kujihami ya NATO na Urusi linatarajia kukutana Alhamisi ijayo mjini Brussels // Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imesema kuna visa 35 kwa sasa vya Ebola ambavyo vimethibitishwa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo

https://p.dw.com/p/2yN6u