1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 24.12.2016

SK2 / S02S24 Desemba 2016

Rais wa Ujerumani Joachim Gauck awataka Wajerumani kutoipa nafasi hofu kutanda nchini. Tunisia yakamata washukiwa watatu wanaohusishwa na mshambuliaji wa Berlin. Na jeshi la Nigeria latangaza kuliondoa Boko Haram msitu wa Sambisa

https://p.dw.com/p/2UqCu