1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 22.07.2017

22 Julai 2017

Kwenye matangazo yetu leo jioni. Waziri mkuu wa Hungary asema nchi yake itaendelea kuiunga mkono Poland baada ya baraza la seneti nchini humo kupitisha mageuzi ya sheria yatakayoipa serikali uwezo wa kushawishi mahakama kuu nchini humo. Ujerumani yawatoa hofu Waturuki waishio nchini humo. Mahakama inayoshughulikia kesi za uhalifu nchini Misri leo imewahukumu adhabu ya kifo watu 28

https://p.dw.com/p/2h0t6