Idadi ya watu waliouawa kutokana na miripuko ya mabomu nchini Sri Lanka yaongezeka. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ahimiza amani Libya na kurejea nyumbani wakimbizi wa Syria. Nchini Israel chama cha Likud chaanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya ya mseto.